phone: +255 718 561 149
e-mail: mitwecharitablefoundation@gmail.com

Project

Mitwe Charitable Foundation ina program mbalimbali kama ifatavyo
1.Elimu kwa Watoto wenye ulemavu

2.Kukusanya Vifaa vya Kutembelea watu wenye ulemavu(Wheelchair,Fimbo,Dawa,Miwani ya macho pamoja na kofia kwaajili ya watu wenye ulemavu wa ngozi eg Albino)

3.Kupokea misaada ya vyakula pamoja na nguo kwaajili ya kuziwezesha familia zeney watoto wenye ulemavu na yatima wanaoishi na walezi wao


No comments:

Post a Comment